Habar wapendwa.
Mimi nilikuwa na mwanaume ambae nilizaa nae mtoto mmoja ilifika muda tukazinguana nikamwambia naomba tuachane tulee mtoto katika swala zima la amani na si mapenzi tena alikubali tuwe hivyo
Lakin kinachonishangaza toka nimwambie hayo maneno ya kuachana sijawahi kupata mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.