Recent content by cluster ndara

  1. C

    Buti la Zungu toka Mtwara kwenda Dar ni gari la kisasa

    Mkuuuu usigeuze mada, mada na bus la but la zungu
  2. C

    Buti la Zungu toka Mtwara kwenda Dar ni gari la kisasa

    Broo tunajadili gari tafadhali mkuu
  3. C

    Buti la Zungu toka Mtwara kwenda Dar ni gari la kisasa

    Mbona humo ndani kuna watu wawili? Wa kiume na wa kike Kwa nini mnakimbilia huyo wa kike tu?
  4. C

    Buti la Zungu toka Mtwara kwenda Dar ni gari la kisasa

    Wewe acha umalaya kinachoongelewa hapa ni buti la zungu wewe unakimbilia kuchungulia kilichomo ndani badilika mkuu
  5. C

    Buti la Zungu toka Mtwara kwenda Dar ni gari la kisasa

    Tafadhali mkuu hili bango ni Kwa ajiri Ya buti la zungu plz anzisha bango lako ndio uweke hilo gari lako
  6. C

    Buti la Zungu toka Mtwara kwenda Dar ni gari la kisasa

    Wewe koma usilete matangazo kwenye bango langu anzisha bango lako
  7. C

    Buti la Zungu toka Mtwara kwenda Dar ni gari la kisasa

    Sio basi la kawaida mkuuu hili gari Lina siti za kulala unalala kwenye siti hadi dar
  8. C

    Buti la Zungu toka Mtwara kwenda Dar ni gari la kisasa

    Jamani kuna gari moja la Buti la zungu linafanya safari toka Mtwara kwenda Dar nililipanda siku moja ni bonge la usafiri.
  9. C

    TBL yapunguza bei ya Castle lite, sasa ni 1500/= tu

    Aiseee wataiua Serengeti lite na Kilimanjaro ndogo, ujue Kwa sasa hivi Serengeti lite na Kilimanjaro ndogo ndio bia zinazokiki Kwa sasa sio kuwa ni tamu? Hapana ni kutokana na bei kuwa ya chini, yani Kama watapunguza kufikia hiyo bei kweli kabisa Serengeti lite itakufa kifo cha mende
  10. C

    Sio kijijini Sio mjini kila mtu anakwambia upatikanaji wa pesa hasa kwenye biashara kubwa na ndogo ni mgumu

    Yupo demu langu nililikataza Kata Kata kumpigia magufuli nikatishia kuwa likifanya hivyo nitaacha Lakini cha ajabu lilienda likampigia magufuli nilikuja kujua baadae Sana na sasa hivi lilimaliza chuo Kikuuu hadi Leo hajapata ajira Wakati walikuwa wakimaliza ualimu wanaajiriwa moja Kwa moja yani...
  11. C

    Mkurugenzi Halmashauri ya Itigi atishia kuwasweka rumande walimu waliohamishwa kisa madai ya stahiki zao

    Yani unahamishwa toka Kata Fulani kwenda Kata ya jirani ulale gesti acheni matumizi mabaya Ya hela za walalahoi katumikie taifa mwisho wa mwezi upate mshahara maisha yaendelee
  12. C

    Dangote: Wafanyakazi walioajiriwa na (sub) tutarudishwa kazini?

    Pambana na Hali yako yani mtu alihangaika kutafuta mtaji akaanzisha kiwanda halafu unakuja kulia lia hapa katafute mtaji uwanzishe cha kwako au mlilie rais wako achana na raia wa nchi nyingne
  13. C

    Dar upuuzi huu wa kuchagua na kukataa fedha mmeutoa wapi?

    Ulipaswa ujibu swali, kuwa unatumia nini kufikiri?
  14. C

    Dar upuuzi huu wa kuchagua na kukataa fedha mmeutoa wapi?

    Mimi namtajia Crdb wameishakataaa hela Mara nyingi
  15. C

    Dar upuuzi huu wa kuchagua na kukataa fedha mmeutoa wapi?

    Broooo sio wote Lakini bank nyingi Kwa kipindi hiki wanakataa Mimi nimeshuhudia Mara mbili Crdb
Back
Top Bottom