shukrani sana mkuu kama utabahatika kuongea na wakubwa hata kama kuna nafasi kwenye uleba au stillfixer sio mbaya.
hakuna kitu kizuri kama kujua kesho unaamkia wapi ukiangalia una majukumu
Ndugu zangu poleni na majukumu.
kijana wenu nakuja mbele yenu kutafuta kazi au kibarua ili kuweza kumudi garama za maisha .
kwenye maswala ya ujenzi nimebobea hasa upande wa ROOFING KUDHIBITI MAJI KWA KUTUMIA ROOFING FELT.
Nipo tayari kujifunza zaidi
naombeni kazi ndugu zangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.