Recent content by clic

  1. C

    Access Bank Mwanza Interview Accomodation Cost

    DAR-MWANZA nauli 35,000 - 45,000/= Inategemeana na bargaining power yako tu pale ubungo bus terminal pia nakushauri ukate siku hyo hyo ya safari uwahi tu mapema sana hapo UBT. Lodge ya kawaida utaipata tu hapo hapo tena karibu na Mwanza Secondary unapofanyia usaili ili usipatwe na gharama ya...
  2. C

    Usaili wa postal controller

    umeona eehh!! bwana barry.kuna watu wengine wana ujinga tu yan.vipi barry ushawafuatilia ww hawa posta kwa kuwapigia? nipe jibu mdau wangu a.k.a mzazi wa wazazi baba la mtoto.
  3. C

    Usaili wa postal controller

    next week ndo results wanatoa hivyo kaa tu mkao wa kula kama utakuwa shortlisted ni kumuomba tu mungu maana walisema after 1 week ila imezidi yani ndo hapo majanga ya uchakachuaji.kwa maelezo zaidi yauhakika kama nilivopewa mimi baada ya kuwapigia wao simu ya mkononi rejea email yako ya kuitwa...
  4. C

    Shirika la posta limeita watu kwenye usaili wa pili??

    uwekwe roho juu kwan ww roho yako iko chini? acha kushushupatika ww.uombe :help: afu tena ujifanye huamini uambiwacho.utajibeba watu jana hureeee......
  5. C

    Shirika la posta limeita watu kwenye usaili wa pili??

    Ndio tayari na kesho ndo oral inafanyika saa 2 asubuh ofisini kwao.wameita tangu jana kwa kupiga simu tu.
  6. C

    Assistant accountant-3 posts

    Please follow the attachment for the posts.
Back
Top Bottom