Kwanini mawazo hasi tuu??? Kwenye mabenki ni pesa za kina nani zipo?? Huo ni uwekezaji kama uwekezaji mwingine watu wangefikiria hizo akili zenu wasingekua wakiwekeza.😂
Kuanguka kupo kila sehemu dia. Lazima mtu ujiandae kupanda na kushuka,nafikiri sio kikwazo kwangu kwasababu wao wamefeli lakini wapo wanaofurahia kilimo,hivyo ni kujiandaa kwa lolote tuu
Linaweza kuwa sio geni likawa na mbinu tofauti na wanazotumia wao ,wao wanayo masharti yanayokuacha hoi mie naweza nisiwe na hayo masharti nikatumia njia tofauti kufanikisha ninachotaka kufanya
Watu wangu wengi wa karibu ni wafanyakazi katika makampuni hapa Dar es salaam lakini wanapenda sana kujihusisha katika kilimo, kutokana na kazi kuwabana na uaminifu mdogo kati ya ndugu au rafiki katika pesa wengi wao wameshindwa kuwekeza kwenye kilimo kuhofia usimamizi wake utakua mdogo sana au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.