Jamani acheni upuuzi...who is Gwajima by the way mpaka mnataka kutuaminisha kuwa leo hii ndo kila mtu awe ni mtetezi wake...kwanza ana skendo kibao...hayo hamuyaoni?pili kipindi kile cha skendo ya Mbasha mbona ulikuwa kimya........huyu kwanza hana nidhamu kumtusi Pengo.....na pia wala hana...
Habari za mchana huu,nipo kwenye viwanja vya shule ya msingi Mirongo this tyme kumuaga shujaa wa soka kwa mkoa wa Mwanza na aliyekuwa kocha msaidizi wa taifa stars Mr Marsh,kiukweli watu wamejitokeza na ukisikia salam za watu walokuwa wanamfahamu kiukweli tumepoteza mdau muhimu wa soka hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.