Recent content by clementmj

  1. C

    Naomba ushauri: Nina Tsh. Milioni 25, nifanye biashara gani?

    Asante sana kk wewe msomi!! Kuna watu wanaleta utani mwingi kwenye mambo ya serious!!
  2. C

    Kati ya kilimo na kuuza mazao kipi kina faida?

    Habari ya leo ndungu zanguni, Jackson hapa. Naitaji ushauli ndugu zangu Hivi kati ya kujikita kwenye kilimo au kujikita kwenye kununua mazao kipi kinafaida kubwa? Na kipi kina risk kubwa? Kwa maoni yako wewe kama wewe let’s say una mtaji wa 20M TZshillings unaweza kuwekeza kwenye kilimo au...
  3. C

    Naomba ushauri: Nina Tsh. Milioni 25, nifanye biashara gani?

    Ndugu zangu naitaji ushauli wenu. Nina 25 million TZshillings naitaji kuanzisha biashara ambayo inaweza ikanipa faida kubwa ndani ya mwaka mmoja. Yani biashara yoyote ambayo inatembea kwa kasi zaidi. inaweza ikawa mkoa wowote ule. Asanteni.
Back
Top Bottom