Recent content by claudinus

  1. C

    EFD: Wafanyabiashara Kariakoo wagoma!

    Wamezoea kukwepa kodi hao, wakiendelea siku tatu zijazo wanyang'anywe leseni zao.
  2. C

    Jersey yaipiku Uswisi: Ni kule Chenge alikohifadhi vijisenti, matrilioni kibao yabainika

    Yote yanayofanyika hata uongozi wa juu unayajua.Alafu eti m2 anatoa hotuba kwa kusema, eti tumejizatiti kuwaondoa watendaji wabovu. Mbona usiwaondoe hawa waliojilimbikizia hayo mapesa kama wewe huusiki pia.
  3. C

    Posho Bungeni: Zitto, Lema katika vita ya maneno

    Mbona Lema anataka kuwa msaliti anamaana gan kusema posho ziongezwe.
  4. C

    Picha: Vurugu Zinazoendelea Mbeya, Mabomu yatawala sababu ni kugoma kununua TRA register's

    Nafikiri hao TRA hawajatoa elimu ya kutosha kwa wanaotakiwa kutumia EFD, kwani wanaotakiwa kutumia hizo EFD ni wale wenye mauzo ya sh:14,000,000 kwa mwaka ni sawa na mauzo ya sh:38,500 kwa siku.
Back
Top Bottom