Binadamu tunakutana na vikwazo vingi sana katika maisha ili tu kufanikisha yale tunayoyahitaji.
Je Katika maisha yako yote, Ni uongo gani Mkubwa ambao uliwahi kumwambia mtu au kuufanya ambao hutokaa Uusahau milele.
Au ni uongo gani uliowahi kuuskia mkubwa ambao hutokaa uusahau!?.
Karibuni...
Kwenye Maisha tunapitia Mambo mengi, ila likija swala la Chuo kikuu au Shule inakuwa tofauti kidogo.
Mimi Nakumbuka Nikiwa Mwaka wa 3 Semester ya kwanza, Niliibiwa Nguo zangu zote alafu ilikuwa ni Wiki ya Mtihani wa Mwisho wa Semester (UE), alafu jana yake nililala na mwanamke bila Kinga alafu...
Be wary of friends-they will betray you more quickly, for they are easily aroused to envy.
.
.
They also become spoiled and tyrannical. But hire a former enemy and he will be more loyal than a friend, because he has more to prove.
.
.
In fact, you have more to fear from friends than from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.