Kuna watu niliwahi kuwambia msiwasingizie washauri et wanaomshauri vibaya.
Nikawambia uyu mama yenu ana roho ngumu,na pia ni katili sana msiwasingizie watu.haya Leo kila mtu ameshuhudia vile askari wa kukodishwa walivyoua watu waliokua majumbani na barabarani .
Watu wamekufa jamani,Kuna maiti...
Ni kweli lakini kiutanzania watu wengi sana wanasoma nje ya ndoto zao na sababu ni nyingi.sababu zipo zinazokwepeka na zingine hukwepi hasa kama hujafikia ufaulu unaotakiwa kwa course husika
Habari za muda huu.
Naombeni msaada na muongozo wa namna ya kupata nafasi ya kusoma shahada katika CHUO KIKUU bila kupitia mfumo uliowekwa na TCU maana huko nmekosa.
Iko hivi,mdogo wangu ana division II ya 10 PCB ikiwa
Chemistry -D
Biology -C
Physics -C
Dirisha la kwanza aliomba courses...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.