Wakuu poleni na majukumu ya Kila siku,,nauliza kwa anaefahamu wanapofundisha kupamba, kumbi za starehe au
katika sherehe yoyote,kwa jiji la Mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu,anatafutwa mtu aliyesoma ADO...kwaajili ya kuuza duka la Dawa,duka liko Mbeya wilaya ya chunya,elimu yake isiwe chini ya form four,awe na uelewa kidogo kuhusu huduma za afya,mwenyew vigezo au kumfaham mtu aje pm
Wapendwa naomba msaada kwa yyt anaefaham,Mimi nimemaliza clinical officer ,n binti nna miaka 24,nko singida natafuta Kaz kwenye hospital,NGOs,health centre au dispensary
Habari wakuu,,mimi n kijana nina miaka 23 nimemaliza diploma ya utabibu (clinical officer)2017 nahitaji kazi ,especially kwenye mashirika binafsi,,kwa yoyote anaefaham anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.