Recent content by claramasawe

  1. C

    Nimpaie Risiti ya EFD

    Nimekuelewa lakini hawaangalii kiwango vha risiti bali wanaangalia total income ya mwaka Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    Nimpaie Risiti ya EFD

    Sasa asiponipa hiyo 18% na kazi sijafanya mimi faida yangu itakuwa wapi huoni nitaongezewa kodi hata kama sintafika kwenye VAT?
  3. C

    Nimpaie Risiti ya EFD

    Mimi hiyo 18% naichukua kwa sababh kazi sijafanya ndiyo maana yake
  4. C

    Nimpaie Risiti ya EFD

    Upo nje ya mada
  5. C

    Nimpaie Risiti ya EFD

    Sijafikia kwenye VAt
  6. C

    Nimpaie Risiti ya EFD

    Habari za wakati huu Napenda kufahamu jambo moja kutoka kwa watu wenye uzoefu kwenye biashara Kuna jamaa mmoja anataka nimpe risiti ya EFD lakini kiujalisia kazi hajanipa (yani sijafanya kazi yoyote Masharti anilipe 18% ya hiyo pesa ninayompa risiti ni pesa ndefu karibia 10 m. Je, hapa...
  7. C

    Mkaka mtanashati tusogeze siku

    [emoji24] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    Mkaka mtanashati tusogeze siku

    [emoji24][emoji24]Some people they dont understand this situation how it is. Ni shida hasa ukiwa siyo mtu wa kutoka toka. Asante kunitia moyo mkuu Be blessed! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    Mkaka mtanashati tusogeze siku

    Nacheka sana. Kunywa maji mkuu life linahitaji sana uwe na focus punguza hasira then fanya kazi yoyote Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    Mkaka mtanashati tusogeze siku

    [emoji3][emoji3]ndo mana JPM anatusisitiza tufanye kazi alafu watu kama wewe msioangaika hampendi kuambiwa muwe na kazi. Kazi ndiyo msingi wa maisha. Am hardworking do you think nikiwa na rafiki asiye na kazi au asiyejishughulisha will we match? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    Mkaka mtanashati tusogeze siku

    One of the great thinker tuliobaki nao humu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. C

    Mkaka mtanashati tusogeze siku

    Wananipa ushawishi baadae mimtafute huyu rebeca lakn i think akiona hapa atajisikia vibaya its not fair Sent using Jamii Forums mobile app
  13. C

    Mkaka mtanashati tusogeze siku

    Hongera mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. C

    Mkaka mtanashati tusogeze siku

    Pole vigezo huna Sent using Jamii Forums mobile app
  15. C

    Mkaka mtanashati tusogeze siku

    [emoji3][emoji3][emoji3]Kama huna sifa cul down man Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom