Recent content by Clanzy

  1. C

    Natafuta mme

    That's so called end of your thinking capacity
  2. C

    Natafuta mme

    Thats why i post
  3. C

    Natafuta mme

    Nimesoma msg zenu, kwa wale wanao uliza kuhusu baba wa mtoto ukini PM i will iron out the details what happened. Kwa wale mnao criticize, sikatai kuwa criticize coz binadamu tumeumbwa hivyo. Ila bear in mind it is all around us yawezekana usiwe ni wewe but ikampata one member of your family so...
  4. C

    Natafuta mme

    Habari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia kipato umri uanza miaka 32-40. Ila awe tayari kunikubali na kunipenda mimi na mwanangu. For more...
Back
Top Bottom