Mm sikui kama wote mnaopoteza mda wenu wa kuandika post zenu humu kwel wte mnatafuta kaza coz coment zenu zote ni za uonge jamani muogopeni mungu ahsante
Tanesco hafai wanapwana kazi
mda mfup nmefanya enterview tanesco shinyanga tulifanya watu 10 wasichana 7 wavulan 3 na walikua wanaitaji ass acounts wa 5 but amin usiamin waliwachua wasichana tu 5
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.