Darasani haturudi wala nn,elimu yetu hii hii inatutosha ingawa mnatuita malofa na wapumbavu,mtuache na ulofa wetu na tutachagua malofa wenzetu,na nyie mchagueni wasomi kwa wasomi,
Hatuna shida na kuhutubia kwake ila UTENDAJI wake makini ndio shida yangu,maana JK FUNDI wa kuhutubia Kweli ila utendaji wake labda kunufaisha familia yake tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.