Habari za wakati huu jamani, Ndugu zangu, nimechaguliwa teku-mbeya, chuo kimefungua jumatatu, wao wanataka 565000/= ndipo wanisajiri. Kila ndugu ninaye mwomba hela japo kidogo ananiambia hana kitu na anadai hali ni ngumu kwa sasa. Ndugu zangu, kwangu hii ni...