Recent content by Citizen_37

  1. Citizen_37

    Viongozi wa Kiislam Kupitia BAKWATA elimikeni, haki ya Uchaguzi sio Uvunjifu wa Amani

    sHEKHE mWAIPOPO yeye hasumbuki kuangalia mkosaji ni nani, anachoangalia mwislam ni nani kati ya hao ili amtetee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ovyo kabisa
  2. Citizen_37

    Viongozi wa Kiislam Kupitia BAKWATA elimikeni, haki ya Uchaguzi sio Uvunjifu wa Amani

    Baadhi ya waislamu inabidi tubadilike, unakuta mtu anamkingia kifua kiongozi na madudu yake kisa ni dini yake, Lissu ni mkristo tena mkatoliki kama Magufuli, lakini tulina alivyokuwa anampa za uso bila uoga.
  3. Citizen_37

    PreGE2025 Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu ni legacy ya hayati Magufuli, itoshe kusema ameharibu mifumo ya utawala bora

    Jamaa anajaribu kujieleza, kwamba haya yanayoendelea ni ya Magu!, Mama hahusiki, tuendelee kupambana na Magu :( !
  4. Citizen_37

    PreGE2025 Kwanini video ya zoezi la kusaini kanuni za maadili imefutwa katika chaneli ya Tume - Uchaguzi TV? Kasoro za kanuni ni chanzo?

    Wamechelewa sana kuifuta, watu wanaishi na video hiyo kwenye flash zao. 🤣
  5. Citizen_37

    PICHA: Huyu hapa ndiye dereva aliyefariki katika ajali Iliyomuua Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO

    Madereva wa magari ya erikali serikali acheni mwendo kasi,,,,, sio sifa!
  6. Citizen_37

    Ina maana weekend yote hakuna mwana chadema aliyeenda kumtembelea mwenyekiti gerezani?

    Kwani una muda gani tangu uanze ulinzi gerezani hapo!!! Umejuaje hawaendi kumtembelea au ulitaka wawe wanakuletea ripoti wewe?
  7. Citizen_37

    PreGE2025 Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi

    Wameanza mapema sana, Kwa hali hii hata kampenni hazijaanza wanaanza kunyamazisha wapinzani!!
Back
Top Bottom