Recent content by Citizen89

  1. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu course hizi za Diploma

    Uhasibu naona itakuwa ngumu, sababu kubwa ni kwamba Uhasibu haupo kwenye passion yangu kabisa, hata kwa kulazimisha.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    Kusoma diploma sio shida wala kosa, jambo la kuzingatia ni malengo. Kusoma degree sio shida wala kosa, jambo kuu la kuzingatia ni malengo yako. Kuhusu waliosoma ngazi fulani (diploma/degree) kuwa na dharau hilo ni suala subjective. Tufanye yote ila....
  3. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu course hizi za Diploma

    Ina maana mshahara wake ni mdogo kiasi hicho? Lengo ni kusoma na kupata ajira, suala la mshahara nitajua namna ya kulipangilia.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu course hizi za Diploma

    Kozi za AI au Machine Learning (ML) zinapatikana hapa Tanzania? Hiyo data science nimeiona kwenye vyuo kadhaa.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu course hizi za Diploma

    Natanguliza shukurani kwa wale wanaosoma huu uzi.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu course hizi za Diploma

    Shukurani ziwafikie wote mnaosoma uzi huu. Naomba niende kwenye mada, mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2025 katika Tahasusi ya PCM, kwa mwaka huu ninatamani ku-apply kusoma courses za Diploma. Kuna machaguo mawili; kozi za Diploma za afya na kozi za Diploma za Uhandisi. Nipo katikati sijajua...
Back
Top Bottom