Recent content by CIC malema

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuwa na mahusiano na binti asiye na maambukizi ya VVU, anataka tukutane kimwili

    WAHESHIMIWA NIMESOMA MICHANGO YENU NINAWAELEWA SANA KWA MAANA CHANYA KUNA WALIOULIZA KAMA NILIWAHI KUA NA FAMILIA JIBU NI HAPANA NA KWA SASA NINA MIAKA 26 KUHUSU VIRAL LOAD BADO SIJAFIKIA LEVEL YA KUA UNDETECTABLE ILA NAFUATA VYEMA DAWA
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuwa na mahusiano na binti asiye na maambukizi ya VVU, anataka tukutane kimwili

    Mimi ni kijana/mwanaume ninayeishi na VVU kwa muda mrefu sasa hivi nimekua nina mahusiano na binti asiye na maambukizi na kwa sasa kwa hakika ninashuhudia mapenzi ya dhati katika historia ya maisha yangu. Changamoto; kwa muda amekuwa akitaka mimi na yeye tukutane kimwili nikawa namtolea nje...
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, mahusiano yasiyoeleweka

    Ok sawa asante
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, mahusiano yasiyoeleweka

    Asante sana
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, mahusiano yasiyoeleweka

  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, mahusiano yasiyoeleweka

    Sawa mkuu nashukuru
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, mahusiano yasiyoeleweka

    Asante
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, mahusiano yasiyoeleweka

    Ok sawa asante
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, mahusiano yasiyoeleweka

    Asante Mungu akubariki Kuhusu ndoa ninatazama hali yangu ninahisi yafaa nikiwahi Majukumu ninayaweza kwa asilimia kubwa Ninashukuru nitafanyia kazi
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, mahusiano yasiyoeleweka

    Habari wakuu soma Kwa makini kisha unisaidie mawazo Mimi ni kijana wa miaka 25 ni HIV+ ninamalizia elimu yangu chuo fulani kikubwa hapa nchini Nimekua na mahusiano na mdada mmoja ambae amemaliza chuo last year ambaye na yeye ni HIV+ lakini mahusiano yetu yamekua yanachangamoto sana kutokana na...
Back
Top Bottom