mzee ES
Uko sawa ninakubaliana na wewe 100% kama Tido Mhando mzee wa polls za BBC, watu wa Mlimani, REDET, JE wale wa www.uchaguzitanzania.com mbona hatuwasikii au ndiyo imetoka jamani kumbukumbu tunazo pia magazeti radio,TV Walivyo kuwa yana toa front page JK anaongoza katika kura za...