Sikuwahi kwenda ila nilitoa taarifa kwao Airtel wakasema Ilo tatizo limetokea baada ya kuwa walikua wanafanya malegebisho but soon ingekaa sawa but after kama 2 weeks ikakubali nikajiunga
Tena kama kawaida yangu nikaweka mizigo ya kutosha torrent almost kama gb 130hiv haikumaliza hata week...
Kama bado mnampango wa kuendelea kutumia Airtel 5g Sina ushauli ila taarifa nilizopata Airtel Wana limit data na sio unlimited router yangu nimelipia mara mbili
nikidownload file kubwa kama mbili tu za gb 45 mtandao unashuka kifurushi kikikaribia kuisha wanapandisha speed after that inashuka...
Mwenye laki Saba mkononi aje nimuuzie
core i5 11gen
Inter iris inside
Ram 8gb ddr4
Micro SSD gb 500
Graphics card Nvidia mx 350
Mashine ni nyembamba sana
0688823704
Hiii changamoto ya internet ya Airtel kuwa chini ni kwangu tu au Kuna wengne pia wanapitia yhn mtandao umekua chini mpaka unaboa nimejalibu kuongea na alienifungia anadai kuwa hata yeye hajui maana wateja wengi wanampa lawama
Chief out of mada kidogo
Sehem nilipo Kuna shida ya Umeme
It means nipo na wapangaji wenzangu so kwenye suala la Umeme kidogo imekua changamoto
Kuna vimita nimeviona sehem ni kama zile sub meter zile zinazo usika na kuesabia uniti ulizo tumia ila hii inakua tofaut kidogo yenyewe inahesabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.