Recent content by Chusen Francis

  1. Chusen Francis

    Natafuta kazi ya kuwa mlinzi wa getini (gatekeeper) au kuuza dukani au houseboy

    oy mr sifa njema hiyo mwanza security haina procedure zozote labda mgambo nk sema penda security wakufungua na kufunga geti tuh siyo nakesha nalinda mwamba
  2. Chusen Francis

    Natafuta kazi ya kuwa mlinzi wa getini (gatekeeper) au kuuza dukani au houseboy

    Jamani ndugu zangu, kwa majina naitwa Chusen Francis natokea mkoa wa Mwanza, nina miaka 22. Nimehitimu kidato cha sita mwaka jana 2019, nilipata ufaulu mzuri wa kuniwezesha kujiunga na chuo kikuu but sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu shule nadaiwa baadhi ya michango iliyonifanya nisiende chuo...
Back
Top Bottom