Natafuta kazi ya kuwa mlinzi wa getini (gatekeeper) au kuuza dukani au houseboy

Chusen Francis

New Member
Feb 2, 2020
4
2
Jamani ndugu zangu, kwa majina naitwa Chusen Francis natokea mkoa wa Mwanza, nina miaka 22.

Nimehitimu kidato cha sita mwaka jana 2019, nilipata ufaulu mzuri wa kuniwezesha kujiunga na chuo kikuu but sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu shule nadaiwa baadhi ya michango iliyonifanya nisiende chuo kwa sababu shule sikupewa result slip wala cheti.

Hivyo basi, nipo serious na makini kutafuta kazi hii ya kuwa houseboy, mlinzi was getini au kuuza dukani ili kama Mungu akisaidia ni nipate kiasi fulani cha pesa niweze kujiunga na chuo mwaka huu japo na imani kupitia nyie ndugu na jamaa naweza kutimiza malengo yangu.

Asanteni sana.

Nina viambatanisho vifuatavyo:
- Cheti cha form 4
- Cheti cha kuzaliwa
- Kitambulisho cha Taifa
kwa mawasaliano zaid nambar ya simu 0763771904
 
oy mr sifa njema hiyo mwanza security haina procedure zozote labda mgambo nk sema penda security wakufungua na kufunga geti tuh siyo nakesha nalinda mwamba
 
oy mr sifa njema hiyo mwanza security haina procedure zozote labda mgambo nk sema penda security wakufungua na kufunga geti tuh siyo nakesha nalinda mwamba
Hivi wewe unataka kazi gani ya kufungua geti na kufunga,ur not serious, hilo geti la wapi lisilo lindwa? Alinde mwingine na akeshe mwingine ww uwe unafungua tu eeh ,kafungue la kwenu boss wangu

Kk security nafasi zilikuwa wazi kabisa na mshahara 250k+ ukiwa huna ramani unafanya, kuna vitengo vingi tu ,kuna watu walianza na kulinda leo wanakaa ofisini tu walishapanda madaraja ,tatizo mnapenda sana raha vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unahitaji kazi serious njoo sengerema Kijiji Cha bupandwa Kuna kazi za vibarua kupalilia miti msitu wa buhindi 7000 kwa siku ukifika bupandwa ulizia ofisi za buhindi waeleze unatafuta kibarua
Upalilia kiasi ulichopangiwa au unafanyakazi tu iwe spidi au polepole unalipwa day hiyo buku7?
 
Upalilia kiasi ulichopangiwa au unafanyakazi tu iwe spidi au polepole unalipwa day hiyo buku7?
[/QUOTEunapewa tu vifaa unaonyeshwa eneo wanalofanya kazi wenzako hampewi sehemu ikifika jioni mnalipwa afu Kuna vitengo vingi kupalilia kupanda miti na kubeba magogo na mbao
 
Umempa connection nzuri..sema mtoa mada hajielewi....

Naanza kuona hata kutochukua results slip kumesababishwa na kutojielewa kwake...

Sasa MTU anaambiwa nenda ofisi flani anaanza propaganda... Ana shida kweli huyu?

Back
Top Bottom