Recent content by chura bin chura

  1. C

    Kufundisha masomo ya ziada (twisheni)

    Habari wanandugu mliohumu ndani? Mimi nikija niliemaliza chuo SUA mwaka juzi na nimehitimu shahada ya wanyama pori, kazi zilitoka na sikuomba kwasababu moja nilikua na kazi nafanya na sikutaka kuiacha pia sikua tayari kwenda kufanya kazi serikalini tena porini...back to the heading...
Back
Top Bottom