BIASHARA YA MAJI NI DILI
Siku chache zilizopita niweza kufanya mahojiano mafupi na bwana Athuman (si jina halisi) muuza maji kutoka mji mdogo wa madini Makongolosi Katika wilaya ya Chunya.
Na hii ndo historia ya maisha yake.
Bwana Athuman alizaliwa miaka ishirini na saba iliyopita katika...
Naweza kusema TFF imesahau majukumu yake.
Haiwezekani kila kukicha ni malalamiko kwenye taasisi hii ya kisoka.
Hebu angalia kuanzia uendeshaji wa ligi za mikoani, madaraja ya chini na hasa daraja la kwanza.
Tutabaki kuwashangilia wenzetu wa nchi jirani wakisonga mbele kisoka na sisi kubaki...
Ndugu zangu Wadau wa soka nchini Tanzania na wapenzi wa timu yetu ya Taifa kwa namna mlivyouona mchezo ule kati yetu na Walethoto kuna uwezekano wa kusonga mbele?
Mimi Nina hofu ukizingatia mpaka sasa tuna points 5 na anayeongoza kundi ambaye ni jirani yetu Uganda anapointi 13.
Kama kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.