Wakuu naombeni msaada wa kisheria kuna jamaa wanajiita mawakala wa vipimo juzi nilichanganya magari nikayaorodhesha then nikayatolea control number pale kwa wale mawakala wa vipimo kuja kushtuka nikagundua nishafanya mistake.
Ikapita muda nashangaa yule meneja kaniletea barua ya wito wa polisi...
Vipi ikitokea umechukua Control Number then usifanye malipo husika mpaka Control number ika expire apo kuna kuwa na kosa kisheria na sheria inasemaje juu hili, msaada jamani kuna jamaa wale wa mawakala wa vipimo kanipeleka hadi polisi kisa sijalipia Control number niliyochukua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.