Sio hao wadogo 2 ht kuna wakubwa wengine hawajawah kufika kileleni.wanaona km ndoto.we km mwanaume ukifanikiwa kumfikisha mw'mke ww ni kidume na hatokusahau maishani.na pia kuna wanaume wengine wanahic zile kelele ndo m2 anakojoa.zingine ni maumivu.
Nipo ktk mahusiano na kijana m1 kwa muda mrefu sasa.ktk harakati za maisha 2kajaliwa kupata mtoto m1.ikabidi nihame kwangu na kwenda kwa mwenzangu ili 2lee mtoto na kupanga mambo mengine.familia yangu ilipogundua kuwa nimehamia kwa mwanaume imejitenga na mm kabisa hakuna mawacliano ht kidogo.na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.