Recent content by Chundeba

  1. C

    Anayejua habari za JKT

    habar jamani.napenda kujua mwenye kufahamu fununu za nafasi za jkt huenda zikatoka lini na utaratibu wa kujiunga hua unakua vipi? naombi msaada ili nijue maana natamani sana nami nikajifunze uzalendo wa taifa langu.
Back
Top Bottom