Uwezo wake wa kujua mambo n finyu sana. Hajui maana ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchini. Hujui maana ya raisi na kiongoz wa nchi. Hajui nguvu ya CCM na sauti ya mwenyekiti taifa. Hajui hata umuhimu wa uhai kwa mwanadamu ukiringanisha na huduma asemazo
Uwezo wake wa kujua mambo n finyu sana. Hajui maana ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchini. Hujui maana ya raisi na kiongoz wa nchi. Hajui nguvu ya CCM na sauti ya mwenyekiti taifa. Hajui hata umuhimu wa uhai kwa mwanadamu ukiringanisha na huduma asemazo
Its almost 2025 tyr naona mengi uliweza kutuonyesha lkn kwass imeshindikana. Au its beyond my paycheck, hata hivyo ntaendelea kugonja unabii kutimilika
Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna atakayeharibu.
Ujumbe wa msingi hapa ni huu
"miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani."
Inamaan 2025 ataachia wengine au ndio FDR...
Ni bora sasa haya mambo yakawa tu kupanguana kisiasa isiwe tena vifo vya viongozi. Ni hatari sana kwa utulivu wa nchi kwasbb wanasiasa mara zote n waroho sana hawataona shida kutafuta upenyo kweny haya.
Vyovyote iwavyo TUMIA AKILI amekua km macho yetu ya kesho kwenye uongozi wa taifa letu...
Aliwah kusema kuwa mama ni mpitaji tu yupo atakae kuja kuishika vema nchi.
Ni mwaka 2020 tena may kbla ya uchaguzi kabla ya kifo cha CHUMA kabla ya mpango kuwa namba 2. Kabla ya kila kitu alijua haya
Iliandikwa hapa NEXT STAGE
“Siku tisini halafu siku nyingine mia themanini tayari. Hii hesabu itaanza baada ya ile ya kustaafu. Next stage (ambayo ilishaandikwa) itakuwa tayari kuanza wakati hapatakuwa na kuendelea kwa haya baada ya hiyo ishara na hiyo hesabu.”
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.