Recent content by chukuachako

  1. chukuachako

    Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima

    Hawa kondoo waende kwa mwamposa kama ukatoliki unawasumbua
  2. chukuachako

    PostGE2025 Kama demands zetu hazitotimia kwenye D9, tutakuja na J12

    Kuhusu uchumi kuyumba haiwahusu wanajua watazichota azina bila maswali
  3. chukuachako

    PostGE2025 Serikali ya Tanzania yajibu matamko EU, Marekani na mashirika ya kimataifa

    Kwani Nyerere aliua watanganyika na wengine kuwazika wakiwa hai??
  4. chukuachako

    Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi

    Hao NATO na Us umewakomalia sana😂😂😂
  5. chukuachako

    PostGE2025 Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa kongamano kuzungumzia Amani

    Vipi kuhusu haki, wataizungumzia lini???
  6. chukuachako

    PostGE2025 Mwigulu: Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima, Muacheni aendelee na ibada zake tujenge umoja wa kitaifa

    Msamaha kiaje yaani!! kwani kabisa likikosea Nini??? waache kujipa umuhimu Gwajima kama huko huko utasalisha live YouTube usijitokeze.
  7. chukuachako

    PostGE2025 Nilichokiona Jana Kimeniogopesha. Watanzania Wamebadilika Sana!

    Ndo maana nchi ipo mikononi mwa mafisadi jeshi letu ni la ovyo sana kama elimu ya kata
  8. chukuachako

    PostGE2025 Itafutwe namna serikali izungumze na viongozi wa upinzani na wanaharakati kuona tunamalizaje haya Mambo. Maana!

    Usalama wa Nini tena??? Mbona hawakuhakikishia usalama ndugu zetu waliowaua MO29??? Sheria ifate mkondo wake hakuna huruma.
  9. chukuachako

    PostGE2025 Itafutwe namna serikali izungumze na viongozi wa upinzani na wanaharakati kuona tunamalizaje haya Mambo. Maana!

    Hii sababu umejitungia ww na ubongo wako ulojaa elimu ya kata sababu za kumtoa sio hizi anatoka kwasababu hatujamchagua ni haramu na kauwa ndugu zetu akwendeeeee hatumtaki
  10. chukuachako

    PostGE2025 Itafutwe namna serikali izungumze na viongozi wa upinzani na wanaharakati kuona tunamalizaje haya Mambo. Maana!

    Serikali ipi hii serikali haramu ambayo hatuitambui?? Kifupi hatutaki maongezi na vitu haramu.
Back
Top Bottom