Recent content by Chukua cha maana tu

  1. C

    Nimeishia darasa la tano ila mimi ni profesor..fransis cheka

    Bondia Fransis cheka kasema yeye kaishia darasa la tano ila kafika Germany na nchi nyingine nyingi za ulaya kwa sababu ya ngumi,na kutokana na ubingwa wa dunia anao ushikilia yeye ni profesor kwa hiyo hata wanaotangaza kuwania uraisi wa nchi huku wakijua wazi wazifa huo hawana uwezo nao,haina...
  2. C

    Nimjuavyo Kamanda Patrobass Paschal Katambi tangu mwaka 2010!

    jamaa nimewahi kuonana nae mara moja pale ofisi za star tv ni mtu asiyekuwa na makuu na nitofauti na watu wengi wenye wadhifa sehemu fulani na kuongea na watu wa kawaida kama jinsi jamaa alivyo. Nakumbuka baada ya kujitambulisha jamaa alinikosoa kidogo ila aliniruhusu kuingia na kuonana na mtu...
  3. C

    CCM Yakubali yaishe, Bunge Maalum la Katiba kuahirishwa

    sipati picha jumbe walikuwa wameshupalia kuwa katiba itapatikana hata UKAWA wasipoludi na kubeza midahalo ya kigoda cha mwalimu kuwa inawaingilia katika majukumu yao, ya kuwaletea katiba iliyo bora WATZ sasa yako wapi majigambo.
  4. C

    Vijana wengi CCM wafuata maslahi sio uzalendo

    shida sio UCHADEMA shida iko hapa kupatikana kwa katiba mpya ndio kutaamua hatima ya uchaguzi kwann sisi tujikite nani anafaa mara tunamuunga flani na huku chama kimesema muda bado kwa nn tusisubiri muda muafaka.
  5. C

    Vijana wengi CCM wafuata maslahi sio uzalendo

    Nimekaa na vijana wengi walio ndani ya chama cha mapinduzi CCM wengi wao wapo kimaslahi zaidi na sio uzalendo na nchi hii. Angalia kipindi hiki kuelekea uchaguzi 2015 wanaangalia pochi la nani limenona wajipendekeze wavune mapesa au kuteuliwa baada ya mgombea kushida hawa hasa wanafunzi wa vyuo...
  6. C

    CHADEMA msirudie makosa jimbo la Ngudu

    kukumbushana mhimu
  7. C

    CHADEMA msirudie makosa jimbo la Ngudu

    Mwamko ni mkubwa sana ndugu kwa mujibu ya baadhi ya wakazi niobahatika kuzungumza nao shida ni chama kuliwekea kipao mbele kwa kuhakikisha mtu sahihi anagombea na ulindwaji wa kura
  8. C

    CHADEMA msirudie makosa jimbo la Ngudu

    sasa kama ofisi haifunguliwi nayo ni siri hadi kwenye vikao vya chama
  9. C

    CHADEMA msirudie makosa jimbo la Ngudu

    Hujui kama mbunge akiwasilisha hoja zenye mashiko zinaiamsha usingizini serikali kama msingwa hivi karibuni hivi karibuni tatizo mkuu unawaza urais tu wa shiratu uwe dereva
  10. C

    CHADEMA msirudie makosa jimbo la Ngudu

    Hivi karibuni nilipata kulitembelea jimbo la ngudu lililopo wilaya ya kwimba mkoani mwanza ki ukweli inasikitisha.Licha kuwa moja ya wilaya kongwe ambayo imezaa wilaya za magu na misungwi lakini hakuna maendeleo yoyote,kipande cha barabara kutoka Mabuki kupita Malemve,Jojilo hadi ngudu hakuna...
  11. C

    Ridhiwani Kikwete: Asilimia kubwa ya waandishi wa Habari ni makanjanja

    Mbunge wa Chalinze kupitia chama cha mapinduzi Ridhiwani Kikwete ametoa kauli zinazooneshwa wazi kutothamini wala kujali michango inayofanywa na vyombo vya habari nchini. Alipokuwa akiwahutubia wanafunzi wana CCM wanaohitimu vyuo vikuu na vya kati katika bwalo la Umwema morogoro, alianza kwa...
  12. C

    CCM wavurugana kwenye uchaguzi wa chipukizi wa UVCCM taifa mkoani Morogoro

    mwampamba na mwenzake shonza niliwaona SIJUWI WAMELIPWA POSHO
  13. C

    CCM wavurugana kwenye uchaguzi wa chipukizi wa UVCCM taifa mkoani Morogoro

    Habari katika uchaguzi unaoendelea katika shule ya sekondari kilakala mkoani morogoro kumetokea sintofahamu mara baada ya mwenyekiti anayemaliza muda wake GABRIEL MAKALA kuanza kuhutubia ndipo baadhi ya wajumbe wakasimama na kutoka nje huku wakiwa na jazba. Wakizungumzia sababu iliyowafanya...
Back
Top Bottom