Recent content by christkiula

  1. C

    Membe uliaga, iweje unarudi tena jimboni?

    empty debes ussualy make the most noise.kama hamjui kulichojiri dodoma niwaambie kwamba kauli moja ambayo ilikuwa inatembea ndani ya wanaCC ni kwamba hamna mtu ambaye ni mkubwa kuliko chama.hii kauli ndiyo ilimfanya membe akatwe jina kwa sababu ingeleta mpasuko.hivyo basi kauli hiyo inasemekana...
  2. C

    Lowassa ni pasua kichwa

    Dear Susan "Bashe" Lema Wadhamini wanatakiwa ni 450 kutoka mikoa 15 hizo nyingine mbwembwe tu...na kama mtu unakubalika huna haja ya kuflaunt na kuplay PR Pranks..na mwisho wa siku mgombea wenu hafai na mtakatwa tu.
  3. C

    Membe: Nikikatwa jina nitakuwa wa Mwandosya

    Madai au matishio ya baadhi ya wagombea kuwa majina yao yakikatwa basi chama kitapasuka ni kilele cha 'umimi' na kujiona kuwa juu ya chama. mwalimu Nyerere pamoja na kupendwa na watanzania wengi bado aling'atuka. Aliamini kwenye dhana ya 'no man is indispendable'. Hawa wanaotishia kuwa kama sio...
  4. C

    Tibaijuka azomewa mbele ya Kinana Muleba, adai hana njaa, kama ni hela anayo!

    Huo mama akapimwe akili kwa kweli, amekosa filter mdomoni. watu wamepewa viroba wakauzomea halafu na wewe unawajibu kama umekunywa Chang'aa
Back
Top Bottom