Recent content by chriss45

  1. chriss45

    Mtoto wangu wa mwaka na miezi 6 hajafunga utosi

    Asante kwa msaada Mungu akubariki[emoji1488]
  2. chriss45

    Mtoto wangu wa mwaka na miezi 6 hajafunga utosi

    Naombeni msaada Nina mtoto wa kike ana mwaka ma miezi 6 mpaka sasa utosi wake bado haujafunga yan bado unadunda Kama mtoto mchanga
  3. chriss45

    Utosi

    Msaada ndugu zangu Nina mtoto wa kike ana mwaka na miezi 6 lakini bado utosi wake haujafunga kabisa yani bado unadunda kama mtoto mchanga
  4. chriss45

    Nasumbuliwa sana na kiuno

    Naomba msaada kwa anaefahamu dawa ya kuondoa maumivu ya kiuno
Back
Top Bottom