Wadau, mimi ni kijana na ninae jishughulisha na utoaji wa huduma ya mikopo. Ofisi yangu ilianzishwa mwaka 2022 mwezi wa 3 na nimefanya usajili na kuendelea kutoa huduma ya mikopo midogo kwa wajasiriamali wadogo. Kiasi cha mikopo huwa ni kuanzia elfu 50 mpaka laki 5, inategemea na uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.