Recent content by Chrispin ndauka

  1. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu, nilijifunza kushona viatu VETA

    😜😜😜✍️✍️✍️✍️
  2. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania Lodge for sale!

    Picha
  3. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania Lodge for sale!

  4. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania Lodge for sale!

    0764036606 njoo whatsp kwa picha na video zaidi
  5. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania Lodge for sale!

    Lodge ipo uyole jijini mbeya lodge ina vyumba 16 safe vinavyo jitegemea kila chumba, mfumo wa Maji moto na baridi upo. Lodge ina flame zenye vyumba vya kulala vitano. Glosari, ukumbi wa mpira na car parking bei ni m.335,000,000/=
  6. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wakubadilishana nae kituo cha kazi

    Mimi ni mwalimu ninae fundisha seko ndari wilayan mbozi-mbeya natafuta mwalimu wakubadilishana nae kitu chakaz awe anatoka wilayan mbalali-mbeya.NO 0764036606
  7. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu ninae fundisha sekondari mkoani morogoro_gairo natafuta mwalimu wakubadilishananae kituo chakazi ambaye anatokea mkoan mbeya wilaya ya mbozi\momba\kyela\lungwe\mbalali au mbeya v.0789599055
  8. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa sekondari ninaye fundisha wilayani mbozi-mbey natafuta mwalimu wa kubadilisha nae kituo cha kazi,anaye fundisha Mbeya jiji au wilaya ya Mbalali-mbeya,no0764036606
  9. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu ninae fundisha wilayani kilosa mkoani morogoro natafuta mtu anaye toka wilayani mbozi mkoani mbeya.no 0757021255
  10. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu ninae fundisha wilayani kilosa mkoani morogoro natafuta mtu anaye toka wilayani mbozi mkoani mbeya.0757021255
  11. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wakubadilishana nae.

    MIMI NI MWALIMU WA SEKONDARI NIPO WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA,NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANANAE KUTOKA WILAYA YA MBALALI MKOANI MBEYA.Kwamawasiliano.0764036606/0658036606
  12. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania Vibali vya uamisho wa walimu vimetoka?

    majina ya uamisho wa walimu july 2013yametoka?
  13. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania Sifazakujiunga na chuo kikuu nizipi nisaidieni wasomi!

    Kwa wale wanao chukua BED.kwa walio hitimu(Advance and diploma)help me pz
  14. Chrispin ndauka

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada!

    Naomba mnitajia sifa za kujiunga na chuo kikuu kwa anae chukua BED or BEA kwa inservice diploma\advance
Back
Top Bottom