Recent content by chrislaulent

  1. C

    Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    Tuzidi kutoa maarifa tu mkuu ili na wengine wapate kuelewa mkuu Bila kufanya hivyo watu wengi watakuwa gizani
  2. C

    Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    Hawa ni wengine wapo maeneo ya mkolani Ila kuna dada na mume wake wao wana nyumba kubwa na gari range Nao wanasema vitu vyao vyote wamepata kupitia Q-net na watu wameanza kuwaita freemason kwa wanavyodai na nilifika hadi hapo wanapo kaa kwasababu nilipelekwa na vijana wengi wanaenda ila...
  3. C

    Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    Niko kwenye mchakato mkuu kwa maana ananisumbua kweli kwamba kwanini nipo kimya
  4. C

    Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    Yeah ina msaada sana kushinda kusoma content humu za watu sio kupoteza muda bali n kuongeza maarifa
  5. C

    Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    Hao wao ni sawa ila hawa wa bongo wanatumia mgongo wa jina la kampuni la watu kutapeli wabongo wenzao
  6. C

    Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    😁😁 ila sura zao ukiziangalia vizuri unagundua nao ni wapigaji tu
  7. C

    Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    😂 nilishtuka mapema kwasababu kuna kitu kama hii ilitwa idea debeter back then 2021 niko chuo walikuwa wana opearate kama hao q-net wanavyofanya Walinipiga 10k chuo ila kuna wengine walipigwa mpak 1M kwahiyo nikashtukia deal ila nilijua hichi kitu nitapata ufafanuzi zaid jf
  8. C

    Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    Pamoja mkuu na asantee pia kwa mchango wako
  9. C

    Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    Za siku nyingi wana JamiiForums, natumaini mu wazima. Naomba nitoe shukrani zangu kwa JF kwa maada mbalimbali zimekuwa zinasaidia sana, mimi si mtoa maada sana ila msomaji mzuri. Niende kwenye point. Siku ya leo, nilipigiwa simu na ndugu yangu kwenye ukoo huku Mwanza kuwa ana mchongo kwa...
Back
Top Bottom