Habari ndugu Wana jf.
Natumaini nyie wazima wa afya Tena,niko hapa kuwaomba ushauri na uelewa juu ya tatizo hili la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma bila kupoteza wakati Moja kwa Moja niende kwenye tatizo nina mdogo wangu wa kiume ana umri wa miaka 26 anasumbuliwa na kichwa kuuma na kuwa...
Kijana,tupe na sisi elimu tupone ugonjwa huu nina kaka yangu unamtesa sana amehangaika hospitalini lakini hajapona.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Asante, lukonge kwa ushauri wako,nitahakikisha najaribu kila namna kupata suluhisho Cha chanzo la ugonjwa wake ikiwa MRI haitatofautiana na maelezo nitakayotoa kwa daktari muhusika.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Habari,
Wadau Mimi nina mdogo wangu aliteguka begi wakati anadaka mpira na kupelekea bega kushuka na kushindwa kubeba vitu swali langu amefanya vipimo cha MRI ya UTI wa mgongo kilingana na utaalamu wa daktari akijua maumivu yake yameanzia kwenye mgongo kusambaa kwenye mabega kwa madaktara...
Hi
Habari mkuu, naomba kuuliza nina kaka yangu Ana miaka 30 yeye anapenda kahawa pekee vipi,alipima akakuta presha imepanda iko juu 149/100 na nimlev wa kahawa unamsaidiaje kuacha kahawa
Hi
Habari mkuu, naomba kuuliza nina kaka yangu Ana miaka 30 yeye anapenda kahawa pekee vipi,alipima akakuta presha imepanda iko juu 149/100 na nimlev wa kahawa unamsaidiaje kuacha kahawa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.