Kuna watu wanajadili bila kuwa na takwimu hivyo wanajikuta wanatumia hisia tu na cyo FACTS. Kilimanjaro ukitumia takwimu za idadi ya watu waliompa kura Dr. Slaa mwaka 2010 inazidiwa na baadhi ya mikoa kama KIGOMA...
Yani askofu mmoja ndo anatumika kama reference ya maaskofu? Tehe.tehe.tehe.tehe...kuna watoa mada wengine huwa kama wanakurupuka vile! Mtoa mada abgekuwa mweredi angeandi pia; "huku mdegella akisema hayo, maaskofu 32 watoa tamko zito......"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.