Recent content by Cholo master

  1. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Kama wanakataa maboresho sijui wafanyiwe nini mana NHIF wamewaita mezani na wakafika wakatoa ya moyoni sasa ninapoona wanageuka unaona kama kabisa wanaleta siasa kwenye wa binadamu wabadilike
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hospitali za private (binafsi) zatishia kutohudumia wagonjwa wanaotumia bima ya afya ya NHIF

    Tunapozungumza kuwa hospital binafsi Kuna vitu wamevificha hawaviongelei na sijui ni kwanini sababu awali walikuwa wanavipigia kelele mfano kulikuwa na usumbufu kwa wanachama kunyimwa baadhi ya huduma kutokana na Bei ya kitita cha 2016 sasa limekuja suruhisho kitita Kipya kimeondoa usumbufu huo...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hospitali za private (binafsi) zatishia kutohudumia wagonjwa wanaotumia bima ya afya ya NHIF

    Mfuko wa Bima ya Afya hawajakurupuka walikaa walipo Fanya maboresho ya kitita waliwashirikisha Wadau wote na waliangalia maeneo muhimu ikiwemo Ada ya Usajili na ushauri wa Daktari hapa ni kuweka usawa ada ya kumuona Daktari kwa kuzingatia taaluma wakaongeza kutoka elfu 15000 mpaka 20000 lakini...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hospitali za private (binafsi) zatishia kutohudumia wagonjwa wanaotumia bima ya afya ya NHIF

    Hizi hospital binafsi hawaongelei waliongezewa malipo ya ada kutoka elfu kumi na Tano 15000 Hadi elfu ishirini 20000 ambao ndo wengi hapa hili hawalioni tuache maneno wakati wa maboresho Mfuko ulihusisha wadau wote wakiwamo hao umoja wa wamiliki binafsi (APHTA )
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hospitali za private (binafsi) zatishia kutohudumia wagonjwa wanaotumia bima ya afya ya NHIF

    Tunalalamika bure na kuacha kuangalia vitu Muhimu mfano hai kuongezeka kwa jumla ya dawa 124 katika Orodha ya dawa Muhimu ya Taifa sio hivyo tu kuweka mbadala wa dawa 309 katika kitita cha Mafao huku kukijumuishwa dawa zenye nguvu na muundo wa upatikanaji wa dawa katika Soko haya vituo binafsi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Wanajisahau hawa yaani washakula matapishi yao na wakajisahau
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Ulipiga nae ilo deal ama usiandike tu sababu ya chuki
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Uzalendo upi unazungumzia wewe maana jambo hili ni la kawaida yaani mtu asizungumze sababu hayupo kwenye uongozi punguza jazba
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Umeongea vizuri Chadema people hawataki vijana wa CCM wenye uwezo yaani wanawapinga sana sababu hawataki kuzidiwa kateuliwa Makonda wameumia sana sasa hofu yao akija sabaya itakuwaje
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Hakuna acha mawazo potofu ni jambo la kawaida sana tukianza kunyoosheana vidole kwa kila mtuhumiwa basi tutakimbiana hapa yeye alituhumiwa mahakama imeamuwa ukweli hivyo na istoshe ni raia wetu na PM ni wawatanzania wote hivyo hakuna ubaya
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Hapa ni jambo la kawaida kabisa kama picha ni ya kweli hakuna ubaya sabaya ni binadamu kama binadamu wengine anahaki ya kukutana na viongozi masaibu yake yameisha yupo huru tusijitie Mungu watu kwenye kuhukumu Mwacheni kijana awe na hata serikali ya Awamu ya sita ikiwapendeza wape nafasi tuone...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kwa Hili la Bima ya Afya Kwa watoto-Hapana

    Hongera kwa Mawazo yako mazuri lakini ukumbuke Mfuko haupewi fungu kuwa endesha hili unajiendesha kulingana na malipo ya wanachama watu walipe pesa hili unazungumza tu nijambo gumu kulifanya wewe unaandika utekelezaji wake ni mgumu sana
  13. C

    JamiiForums Tanzania Magari ya viongozi wa Serikali na afya za wananchi wa Tanzania kipi muhimu?

    Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni #NHIF haina mazuri hata kidogo ama tunashindwa kusema ukweli kwa sababu ya Chuki ,Ukifika hospitalini Wamama wanasema yaani kama tusingukua na #Bima hapa tungepata shida hivyo tunaona hayo ndo mazuri ya Bima sijui tumerogwa wapi Pamoja na kelele zote hizi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Magari ya viongozi wa Serikali na afya za wananchi wa Tanzania kipi muhimu?

    Kuna hoja zingine bana yaani unaziona zina uchuki na Wivu ndani yake kwani suala la magari halihusiani kabisa sababu huu ni usafiri kama usafiri mwingine ni sawa na kusema mtu aache kula sababu hana nguo za kubadilisha. Hoja hii jamani imeshaelezewa mara nyingi sana na kutolewa ufafanuzi...
Back
Top Bottom