Recent content by chogomzingwi

  1. C

    Kwa Mtindo Huu UKAWA Kamwe Haitachukua Nchi

    hebu tuambie ww great thinker namna ambayo chama kisicho na support kinaweza pata ushindi kokote duniani.hiyo structure unayoizungumzia ni ipi?,ya wizi wa kura au?.
  2. C

    Kama sio kwa vitisho alivyovitoa Zitto kwa CHADEMA nahisi yangemkuta kama ya Chacha Wangwe

    kama hilo linafahamika serikali yako makini ilichukua hatua gani kwa wahusika ukichukulia chacha wangwe alikuwa ni raia.
  3. C

    Kama sio kwa vitisho alivyovitoa Zitto kwa CHADEMA nahisi yangemkuta kama ya Chacha Wangwe

    heri we umesema,maana machafuko yataletwa na ccm kwa kuwa wanajua walio wengi watakimbia nchi au kuishia jela kwa ujambazi na ujangili waliofanya.ova
  4. C

    Kama sio kwa vitisho alivyovitoa Zitto kwa CHADEMA nahisi yangemkuta kama ya Chacha Wangwe

    ndio umeandika nini sasa!,ooh wapewe, wasipewe,wana afadhali lakini si wazuri,mara barabara haijaisha gesi imefika!,jipange ndugu
  5. C

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    wanafikiri kupitia tume isiyo huru ya uchaguzi.
  6. C

    Ajali yauwa 9 na kujeruhi 10

    kipo kati ya igoma na kisesa.
  7. C

    Wasomi wa SUA washindwa kujieleza kwa kimombo!

    hao ulowataja wanatumia lugha zao mashuleni,kama vp nasi tutumie kiswahili kuliko kutumia lugha ambayo hatuna hata mikakati ya kuifahamu vema.
  8. C

    Yamemkuta Lissu: Kushtakiwa na mtoto wa Hanga kwa udanganyifu!

    wewe yaweza kuwa ni mpiga debe,lissu amenukuu kitabu cha dr harith ghassany kiitwacho kwaheri ukoloni kwaheri uhuru.ndio zenu hamjibu hoja mnapiga kelele tu.vp hapo mwandishi hapaswi kuulizwa?.
  9. C

    Kuuawa kwa waasisi: Waziri akwepa hoja, amshambulia Tundu Lissu

    basi kabla ya kujibu,kisomwe hicho kitabu kilichonukuliwa ili aulizwe vizuri.
  10. C

    Kuuawa kwa waasisi: Waziri akwepa hoja, amshambulia Tundu Lissu

    serikali si ina mkono mrefu,kwanini nayo isiwachonganishe wapinzani ili wachukiwe na wananchi ?.kama wana fact za kutosha?.
  11. C

    Kuuawa kwa waasisi: Waziri akwepa hoja, amshambulia Tundu Lissu

    kanuni za bunge zipo, si zitumike?.lini na jambo gani aliambiwa athibitishe akakimbia?,zaidi ya mama makinda kukalia uthibitisho kama ule wa lema alipomtuhumu mzee pinda kuwa ni muongo?.muda wa propaganda umekwisha tunataka fact kama kambi ya upinzani walivyonukuu kwaheri ukoloni kwaheri uhuru.
  12. C

    Kuuawa kwa waasisi: Waziri akwepa hoja, amshambulia Tundu Lissu

    yawezekana kambi ya upinzani ni waongo na wachochezi kama ilivyosemwa na baadhi ya wana nyinyiem,ili tuweze kuwahukumu kwa dhati tunaomba majibu ya maswali yaliyoulizwa pamoja na vielelezo vya makaburi yao.vinginevyo kusema eti ni propaganda hatutaelewa.wajibiwe kwa hoja si maneno.kizazi hiki...
  13. C

    Revealed: Lissu "hajawahi" shinda kesi mahakamani!

    kama amekosea kisheria,hao wanaomkosoa wamjibu kwa hoja si propaganda.
  14. C

    IPTL saga: Siri Imevuja, Mwigulu na Zitto Kabwe Kaa la Moto... Ndio waliolipua!

    labda kama unamuongelea mwingulu njemba lakini si mwigulu nchemba,na nzitto kabwela.
Back
Top Bottom