Recent content by Choggagrandson

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua nanna ya kufuta jina NACTE baada ya kuahirisha masomo anisadie

    Jamani niliarisha masomo baada ya kupata MATATIZO ya KIAFYA saivi nataka nifanye application ili niende CHUO kingine nikasome Tena tatizo no kwamba CHUO nilicho kuwa nasoma wamegoma kufuta jina nisadieni jamani
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua kwa nini binadamu haoni gizani?

    Kwenye macho kuna vitu vinaitwa photoreceptor cells ambazo huwa zipo Aina mbili ya Kwanza no cones kwa ajili yakumwezesha mtu kuona wakati wa mchana pia hii huweza kufanya kitu kinaitwa color vision hii ndio inafanya macho yaweze kuona vizuri kitu kwa rangi yake halisi na ya pili mi rode ambayo...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje na hawa wenzangu? Ninajibu sana maswali naonekana nina kiherehere

    Kuwa mtu mwenye ukimya onyesha uwezo wako siku ya pepa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje na hawa wenzangu? Ninajibu sana maswali naonekana nina kiherehere

    Kuwa mtu mwenye ukimya onyesha uwezo wako siku ya pepa
Back
Top Bottom