Maumivu hayafichwi.
Akificha leo Kesho yatageuka kuwa mateso kwa nafsi yake huenda akaleta matatizo ya akili.
Kama anaumia it's better kutafuta suruhisho. Na sio kunyamaza tu.
"Love doesn't think twice" Celine Dion aliimba.
Ukiona unafikiri na kuwazua mara nyingi zaidi kuhusu Upendo wa mwenza wako= Tunaita "Unamashaka kama anapendwa au lah!"
Na hii hutokea baada ya nafsi kuanza kupata mateso(jitahidi kuinusuru)
Upendo haupimi upendo: ukiona anapima kama unampenda...
Wakati ambao dunia inabadirika kwa kasi katika siasa, uchumi, afya, elimu na technolojia, jamii yetu inahangaika kupambana ili kuhakikisha kila mtu anaishi maisha bora na maendeleo yanapatikana kwa kila mmoja. Lakini, juhudi hizi zinarudi nyuma kutokana na changamoto kubwa ambazo jamii inapitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.