Recent content by choba

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Huyu jamaa kama hataki kutoa information hapa basi tusimtafute. Anaweza kudai pesa kuwa anajua matibabu. Maelezo yake ni marefu ila hajatoa taarifa muhimu. Anaficha nn? Kwa nn asisaidie watu hapa?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Sawa inawezekana alishaenda. Kuna ugumu gani kutaja hospitali, daktari na dawa ulizotumia? Napata wasiwasi kuwa huna nia ya msaada ila una jambo. Maelezo mengi lakini taarifa muhimu hakuna. Itakuwa unataka watu waje inbox ili biashara ifanyike. Weka kila kitu hapa hadharani.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Hoffenheim Weka vitu wazi Huna haja ya kuficha. Taja jina la hospitali na dawa ulizopewa ili watu wanufaike nazo. Maelezo yamekuwa mengi km unafanya promotion. Fupisha stori tumsaidie jamaa huyo.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Mzizi ni mfanya biashara tu kama wengine. Anazitafuta.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Suluhu Inahitajika: Kwa mchepuko fresh, kwa wife dolo

    eeh hapo chacha. utamu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Suluhu Inahitajika: Kwa mchepuko fresh, kwa wife dolo

    sijakupata hapa Sosthenes Maendeleo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Suluhu Inahitajika: Kwa mchepuko fresh, kwa wife dolo

    wewe Nzuri Pesa, toa ufafanuzi zaidi please.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Suluhu Inahitajika: Kwa mchepuko fresh, kwa wife dolo

    kurogwa.. makubwa jamani.. suluhu ni ipi sasa?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Suluhu Inahitajika: Kwa mchepuko fresh, kwa wife dolo

    Wana JF, Kuna mjadala umetokea sehemu nikaona huenda kuna ufumbuzi humu ndani ya Jukwaa letu. Ni hivi jamaa kachepuka. Akirudi kwa wife kitu kinalala, akienda kwa mchepuko mambo fresh. Hii ni nini? ni ushirikina au ni saikolojia? Hebu tudadavue kuweka mambo fresh. Nini suluhu ya hii kitu? Choba
  10. C

    JamiiForums Tanzania Vumbi la Congo na hatari ninayoiona

    Hello Red Giant, Umeingia bonge la chaka.. Vungi la kongo mtu anapaka kwenye mbolo, hizo zingine ni za kumeza.. sasa hakuna muingiliano hapo. ok. umeongia
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli hapa?

    mimi sijui. jaribu aafu utupe mrejesho.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ukifuatilia Ripoti ya pili ya Makinikia, wajue Wanasheria Wakuu wa Tanzania tangu Uhuru

    AG yupi ali.sign mkataba na ACACIA?
  13. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapoteza hadhi sababu ya uongozi dhaifu wa M/kiti Freeman Mbowe

    wapi unapatikana Dada mchangamadini?
  14. C

    JamiiForums Tanzania ITV vs Rais Magufuli na CCM

    Endelea kuangalia *TV na TBC ndo zinakufaa. Achana na TV za viwango km ITV.
Back
Top Bottom