Hata sisi tunasemwa sana.
Siku moja niliwapa lift mabinti fulani waliokuwa wanaelekea uelekeo mmoja na tulipokuwa tunaenda.
Hawakuomba lift friendly mimi ndiye niliyemwambia dereva asimame awabebe.
Another day inatokea situation kama hiyo ila kwa watu wengine tofauti.
Siku hiyo nakuwa na...
Kaka ni kweli, tunapigwa Changa la macho kwenye hili sakata.
Nzige walioanzia Longido, Namanga na kuingia mkoa wa Kilimanjaro bado hawajateketezwa.
Kina Bashe na Mkenda wanadili na lile kundi moja la upande wa Simanjiro.
Hili kubwa sana halitangazwi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.