Salaam!
Kwa kumbukumbu yako unawezafahamu ile intrumental Baba T aliyokuwa annanzia kipindi hadi umauti unamchukua?
Jina la music (instrumental ile) na Muimbaji,Mdau mmoja aliniambia ilikuwa instrumental ya "Gregory Isack" lakini nimesikiliza pini zote za G I sijapata kuisikia.Msaada...
Salaam wakuuI
Same nipo kwa field hii (ICT) kwa aka zaidi ya tano,ka kuna la kushare nipo imara kwa hili humu kama mtaani nipo Kigamboni Maweni kwa Ofisi yaitwa "Vuguvugu" na more na whatsapp kwa Tigo ya "Sifuri Sita Tano Sita Sita Sifuri Sita Sita Mbili Saba"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.