Recent content by chitanga

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini lawama kwa HESLB tu.

    wewe ni msemaji wa bodi?mbona una wakingia kifua?ni haki ya kila mwanafunzi kupata mkopo.
  2. C

    JamiiForums Tanzania body ya mikopo vipi mbona kama kuna ubaguzi hivi

    Mhh!If it's true why don't you announce it officially through your website?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Diploma wa ngapi tumepata mkopo.

    umefurahia wenzako kukosa?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo: HESLB account has been suspended

    usemacho ni kweli.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Waliokosa mkopo waongezeka mwaka huu wa 1013

    Ngoja tusubiri kwa kuwa haya ni matokeo ya wale ambao wameomba kwa mara ya kwanza,pengine diploma holders wametengwa kama ilivokuwa kwenye selection for admission.
  6. C

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    Dah,nguruwe!kwani wamekukosea nini mama hadi uwaite nguruwe?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwa first year na wanachuo wote

    Mwenye busara atakuelewa tu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa wenye diploma qualifications

    Diploma wana % zao na form six wana % zao msikatishe watu tamaa.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Special announcement to new students for 2013/2014 academic year

    Nakushauri uache dharau bwana mdogo huijui kesho wewe.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tovuti gani nzur kwa kuperuz maswali na majibu...hasa kwa ajiri ya assigment?

    Wengi tumefaidika na ushauri wenu wakuu binafsi nawashukuru sana.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni mniangalizie hili jina nacte

    Sitaki kuamini kama unachosema ni kweli!!!Na kama ni kweli huko chuoni anaenda kufanya nini??
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wale wa nacte (diploma) mzigo umetema

    Ni kweli ndugu tumeona na asante kwa taarifa.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya SUA yapo hewani

    pamoja sana,malizia malizia kula bata ukifika huko ni msuli mwanzo mwisho.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya SUA yapo hewani

    wa nacte wamo pia
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nacte tutoeni kimasomaso

    Yawezekana lakini si wa kuwaamini 100%.
Back
Top Bottom