Recent content by Chiston junior

  1. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bandari ya Ujiji imedumaa tofauti na matarajio yetu wana Kigoma Ujiji

    Bandari ya Ujiji imedumaa tofauti na matarajio yetu wana Kigoma Ujiji. Kuna suala la Bandari ya Ujiji Kigoma tunaomba Serikali itusaidie Wananchi wa Kigoma Ujiji ,Bandari ya UJIJI haileta matarajio kama ilivyotarajiwa kutokana na kasoro kadhaa. Bandari ya Ujiji ni bandari ya tatu kwa ukubwa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

    Wakati Magufuli anatutupa Coco Beach mbona hatukumsikia? Huyu si ndio alikuwa anamuandaa Makonda awe Rais leo anabwata nini?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mgombea bora zaidi wa bunge la EALA Ado Shaibu atoa shukrani

    TAARIFA KWA UMMA. Jana tarehe 22 Septemba 2022, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilifanya Uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA). Mimi nilikuwa mgombea kwenye kundi la Walio Wachache Bungeni. Mshindani wangu, Mashaka Ngole wa CUF alichaguliwa. Licha ya...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Monalisa Ndala: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ajiuzulu mara moja

    GERSON MSIGWA AJIUZULU Ndugu zangu waandishi wa habari, kwanza nawashukuru kwa kuitikia wito wangu na kufika hapa leo. Nimewaita kwa jambo moja tu ambalo niliona haitakuwa sawasawa likiachwa na kupita hivi hivi. Kabla sijalitaja jambo hilo naomba niseme mapema kuwa ninazungumza katika mkutano...
Back
Top Bottom