Recent content by Chisawilo KTN

  1. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Tutaendelea kuwasiliana kwa PM ila kifupi tu ni kwamba mafuta ya mlonge yanatumika katika cosmetics industries kwa ajili ya nywele na ngozi. Pia yanaweza kutumika kama tiba kwa mba, kuungua au kujikata. Last but not least, mafuta haya yanaweza kutumika kwa kupikia. N.B ningependa kufanya...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Wakuu, wana jf. Mimi niko mkoani Dodoma lakini pia wakati mwingine huwa ninakuwa Dar. Huku nilipo nina stock ya kutosha ya mbegu za mlonge. Nilishakamua mafuta na kuwauzia mafuta watu kadhaa wa dar na morogoro lakini biashara haikuwa endelevu kwa sababu za hapa na pale. Sasa nimeamua kuileta...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hi jf members

    Najisikia vizuri sana kuwa mwanachama wa jf. Tafdhari nipokeeni.
Back
Top Bottom