Recent content by Chipsi yaipembeni

  1. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania CUF wakanusha taarifa za kifo cha Maalim Seif

    Chama cha Wananchi CUF kimekanusha taarifa za kifo cha Maalim Seif ambazo zilianza kusambaa tangu jana jioni kwamba kiongozi huo amefariki dunia Jussa Ismail Jussa, amesema taarifa hizo sio za kweli. Pia amezungumzia hali ya kisiasa mjini Zanzibar kwamba kwa sasa hali si shwari.
  2. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Na Godrich Izack,Arusha. Leo tarehe 9/12/2015 nimeiona Tanzania kwa namna tofauti sana na nimepata wasiwasi mkubwa sana. Ni baadhi ya vitu ambavyo binafsi nilichagua kupambana navyo katika maisha yangu binafsi na jamii yangu kwa ujumla.USAFI!.Usafi akili,mwili na roho.Namaanisha usafi kuanzia...
  3. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania Polisi yatangaza kiama watakaoongeza bei za nauli Krismasi na Mwaka Mpya

    Nimekuwa mfuatiliaji wa mada zinazochapishwa na hii tovuti ya FikraPevu.com, leo wameweka habari inayohusu Jeshi la Polisi kutahadharisha Ongezeko la bei za nauli Krismasi na Mwaka Mpya.
  4. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania Hivi Tumaini Makene bado ni Afisa Habari wa CHADEMA?

    Hii iliishia wapi?
  5. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa mikopo kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu waliotuma maombi 2015

    Serikali imefanikiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu waliotuma maombi mwaka huu ikiwa ni utekelezaji wa sehemu ya maelekezo ya Mh rais John Pombe Magufuli ya kuondoa kero na malalamiko ya muda mrefu ya wananchi katika sekta ya elimu. Akizungumza na viongozi na wanafunzi wa chuo...
  6. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wabaini Uwepo wa Maandalizi makubwa ya Tohara kwa Wanafunzi Msimu huu

    UCHUNGUZI umebaini kuwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kumekuwepo na maandalizi makubwa ya msimu wa tohara kwa watoto wa kiume unaofanyika sanjari na ukeketaji kwa watoto wa kike katika maeneo mablimbali nchini, ambapo umeanza kuathiri mahudhurio ya wanafunzi shuleni. Taarifa zaidi zinaeleza...
  7. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchelewesha sana Baraza la Mawaziri

    Nchi imemaliza mwezi bila kuwa na baraza dogo lakini mambo yanaenda.... hakuna haja ya kuwa na baraza coz wanakula hela za walipa kodi bila huruma
  8. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania Njia gani nafuu kutuma mzigo kwenda Mwanza, Arusha?

    Tafuta mtu akupelekee au dereva/kondakta wa basi la mizigo/abiria
  9. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania China kuongeza Uwekezaji Barani Afrika, Tanzania imejipangaje?

    Kwa upande wangu, ili uwekezaji ulete tija kwa nchi zetu za kiafrika Tanzania ikiwemo, kunahitajika kuwepo na viongozi ambao ni wazalendo bila hivyo Taifa letu litabaki kuwa lile lile kutokana na wengi wa viongozi kujali maslahi binafsi. Nimeshuhudia katika midahalo mbalimbali iliyokuwa...
  10. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania AG awasilisha waraka Mahakamani wa kutaka kushikiliwa kwa Mfanyabiashara wa dawa za kulevya

    Taarifa zinasema Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akitaka kushikiliwa na kuzuiwa kwa mali zote za mtuhumiwa wa madawa ya kulevya, aliyejulikana kwa jina la Muharami Abdallah, maarufu kwa jina la Chonji na mkewe...
  11. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya awasweka rumande Maofisa Ardhi na Mipango Miji Kinondoni

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Paul Makonda jana alikuwa amewataka Maofisa Aridhi na Mipango Miji kufika eneo la Nakasangwe Kata ya Wazo leo asubuhi kutoa ufafanuzi wa mgogoro wa ardhi lakini wao wakafika saa 5. Sasa kaweka mahabusu katika Kituo cha Polisi Wazo Polisi na...
  12. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania Raia wa China waliokamatwa na Pembe za Faru waburuzwa Mahakamani Mbeya

    Wale Rais wa China wanne waliokuwa wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya wamefikishwa Mahakamani wakikabiliwa na mashtaka matatu. Pembe hizo 11 zinazodhaniwa kuwa ni za Faru zinakadiriwa kuwa na thamani ya takribani milioni 900. Aiyenipa taarifa hizi hajaweza kuelewa kwa haraka kuwa...
  13. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania Hongera Magufuli, lakini kumbuka Ikulu ni mahali Patakatifu

    Hapo kwenye redi pamenibariki
  14. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania Wapata wakati mgumu kutetea Sera za vyama vyao kuhusu Sekta za Afya na Elimu

    Walipata wakati mgumu kutetea ilani za vyama vyao lakini lakini wamefanikiwa kuchukua nchi.
  15. Chipsi yaipembeni

    JamiiForums Tanzania JamiiForums na FikraPevu, walaani nguvu inayotumika kuzuia uhuru wa maoni

    KAMPUNI ya Jamii Media, ambao ni wamiliki wa mitandao maarufu ya mijadala kwa jamii kupitia mitandao ya jamii,JamiiForums na FikraPevu nchini Tanzania, imelaani kitendo cha baadhi ya kundi/watu walioishambulia miundombinu ya kampuni hiyo na kuzuia kupatikana kwa huduma zake kwa siku kadhaa. Kwa...
Back
Top Bottom