Recent content by chipo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kagasheki: TRA wanahusika biashara ya meno ya tembo

    China mbongo akikamatwa na sembe ananyongwa hakuna mjadala..Tanzania mchina anakamatwa na pembe za ndovu anawekwa police siku mbili tatu mwisho story hatujui zinaishaje. VERRY SAD
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tapeli / Jambazi maarufu Dar mbaroni kwa kumteka mwanamke na kupora

    Ndio huyohuyo wa kesi ya Jerry Muro
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tapeli / Jambazi maarufu Dar mbaroni kwa kumteka mwanamke na kupora

    Huyu jamaa na wenzake walikwenda Moshi wakamchukua mwanamke mmoja wakijidai usalama wa taifa na kwamba anahitajika kituoni wakampiga pingu wakidai tuhuma ataenda kuzijulia kituoni..kufika kituoni wakapita na safari ya Dar ikaanza walipofika Dar wakampora na kumtelekeza Tegeta na sasa yupo hapa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tapeli / Jambazi maarufu Dar mbaroni kwa kumteka mwanamke na kupora

    Huyu jamaa anajulikana kwa jina la Deo Mgasa ni hatari na amekuwa akitumia vitambulisho vya usalama wa taifa kupigia matukio yake... Kuweni makini wana Jamii Forum wenzangu maana huwez kujua lini utakutana nae ni mtu hatari sana.
Back
Top Bottom